














Shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Hitima ya Marehemu Ayatullah Muhammad Baqir Anwari ikihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) Akhtari, Ayatullah Imami Kashani Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa Tehran, Abu Turabi Naibu wa Mkuu wa Bunge la Iran, Muhammad Reza Rahimi Msaidizi wa kwanza wa rais wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran, Askar Auladi, Hadj Ally Akbari Msauri wa rais wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran na Viongozi mbalimbali wa Nchi katika Masjid Imam Sadiq(as) Tehran.














